Saturday, November 26, 2011

TANAZANIA

Ni kwa watanzania wote kwa ujumla tunatakiwa tutambue kwamba tupo katika swala muhimu la kupata katiba mpya itatoa taswira mpya ya maisha yetu ya sasa na ya baadae. Hivyo ni jukumu la kila mtanzania kushiriki katika kutoa maoni na kufanikisha swala zima la kupata katiba pasipo kumwaga damu au kuwa na utengano kati yetu sisi watanzania na pia tusikubali kufuata maoni mabovu na ya uchochezi ya chama chochote cha siasa.

No comments:

Post a Comment