This blog is created by ahmad mohamed for the purpose of sharing news and other related articals with his fellow tanzanians and other people in the whole world.So support him in keeping this blog into operation.
Sunday, November 27, 2011
UDOM
Ilikuwa ni furaha na nderemo siku ya ijumaa na jumamosi pale udom ilipofanya mahafali ya pili tangu kuanzishwa kwa chuo hicho,Hongera kwa wote waliotunukiwa stashahada mbalimbali siku hizo sasa ni jukumu la kila mmoja aliyetunukiwa stashahada kwenda kuitumikia jamii katika nafasi mbalimbali ili kuleta maendeleo katika jamii yetu ya watanzania.Hongereni sana
Saturday, November 26, 2011
TANAZANIA
Ni kwa watanzania wote kwa ujumla tunatakiwa tutambue kwamba tupo katika swala muhimu la kupata katiba mpya itatoa taswira mpya ya maisha yetu ya sasa na ya baadae. Hivyo ni jukumu la kila mtanzania kushiriki katika kutoa maoni na kufanikisha swala zima la kupata katiba pasipo kumwaga damu au kuwa na utengano kati yetu sisi watanzania na pia tusikubali kufuata maoni mabovu na ya uchochezi ya chama chochote cha siasa.
Subscribe to:
Posts (Atom)